This repository contains exercises for learning Dart programming language, in both English and Swahili. Repo hii ni mkusanyiko wa mazoezi yaliyoundwa kukusaidia kujifunza lugha ya programu ya Dart kwa Kiswahili.
Feel free to contribute by adding exercises or improving existing ones. Jisikie huru kuchangia kwa kuongeza mazoezi na / au kuborsha mazoezi yaliyopo.
Special thanks to Power Learn Project. Shukrani kwa PLP.
This project is licensed under the MIT License. Inaruhusiwa kunakili, kutumia na kusambaza